Saturday, 30 November 2013

Taarifa rasmi ya kombe la Dunia

fifa_world_cup_trophy_1_1600x1200Kombe la Dunia tayari limetua jijini Dar es Salaam ambapo limepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kutolewa kwa msafara wa magari 10 aina ya Hyundai. Watanzania watapata fursa nyingine ya kuliona kombe hilo leo jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar kuanzia saa 3 asubuhi,katika taarifa za mwanzo zilizotoka ilikua kuliona jioni ya jana kwa wakazi wa Dar es salaam kisha kombe kuelekea Mwanza.

No comments:

Post a Comment