.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

UFARANSA YAIPIGA UKRAINE 3-0 NA KUFUZU KOMBE LA DUNIA


FRANCE_4c930.jpeg
Ufaransa imefanikiwa kufuzu kucheza Kombe la Dunia baada ya kuigeuzia kibao Ukraine na kuichapa mabao 3-0. Awali Ukraine ilishinda kwa mabao 2-0 ikiwa nyumbani na kuweka matumaini ya juu kusonga mbele katika mechi hiyo ya marudiano ugenini. Lakini leo kwa mabao ya Mamadou Sakho aliyefunga mawili na Karim Benzema, Ufaransa imetinga fainali ya Kombe la Dunia. Ilionekana ni vigumu kwa Wafaransa kusonga mbele baada ya kufungwa mabao 2-0 katika mechi ya kwanza
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad