.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

VITUKO SIO BONGO TU... SAMSUNG WALIPA FAINI YAO YA DOLLAR BILIONI 1 KWA NJIA YA HIII....

Asubuhi hii zaidi ya malori 30 yaliojazwa centi 5 yalifika katika makao makuu ya ofisi za Apple huko California. Maskari wa kampuni ya Apple walidhani kwamba malori hayo yamekosea njia lakini baada ya muda kidogo Tim Cook (Mkurugenzi wa Apple) alipigiwa simu na Mkurugenzi wa Samsung na kuelezwa kwamba watalipa faini yao ya dollar za kimarekani bilioni 1 ambayo ni faini aliopigwa samsung company ya kusini mwa Korea

 Kichekesho ni kwamba makaratasi yaliosainiwa haya oneshi kwamba hizo hela zitalipwa kwa malipo ya mara moja au laa (single payment method), Kwaio Samsung wanauwezo wakulipa hela hizo kwa njia yeyote hile wanayoona kwao inafaa

 Kwa njia hii waliotumia Samsung kuwalipa Apple ni umiza kichwa kwa Apple kwakua watatakiwa kutumia masaa mengi sana kuhesabu hela hizo, kuhakikisha kwaamba imekamilika na pia kujaribu kuziweka benki (inategemea kama benki itakubali shilingi zote)

Lee Kun-hee, Mwenyekiti wa Samsung, amewambia waandishi wa habari kwamba kampuni yake ipo tayari kucheza mchezo mchafu kama wanataka mchezo mchafu

Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad