Soma
Bango hilo, wafuasi wa CHADEMA jijini Arusha ,walioambatana na
Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Monduli Bw. Amani Salenga wakionyesha
bango hilo kwa waandishi wa Habari (hawapo pichani) ,wakidai kuwa Mbunge
Lema ndie chanzo cha vurugu kwenye Chama kwa kuanzisha kikundi cha
vijana ambacho kimekuwa tishio kwa wale wanaojaribu kupingana na sera za
Mbunge huyo. pia wamedai kuwa Arusha kwa sasa CHADEMA imegawanyika
katika makundi mawili, amabyo ni CHADEMA ASILI na CHADEMA FAMILY.
About feisal pinto
Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
0 comments :
Post a Comment