Monday, 30 December 2013

AZAM WASHUSHA BASI LENYE TV KILA SITI NA CHOO NDANI, FRIJI ..NDO BASI LAKWANZA ZURI BARANI AFRIKA KUMILIKIWA NA TIMU

Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi. Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki.
Kitu cha maana
Kila siti ina TV
Kuna friji









No comments:

Post a Comment