BABY MADAHA"TAREHE 22 DEC PALE GOLDEN TULIP NITAMUONESHA DIAMOND MIMI NI NANI"
"Tarehe 22 Jumapili Disemba mwaka huu
pale Golden Tulip nitamuonyesha Diamond,kuwa Queen of Swagg ni
nani,ambapo yeye alizindua Single moja ya ngololo pale Serena mimi
ninazindua single 4 moja ikiwa ni Soundtrack na Move yangu mpya ya the
Galbladder, iliyonigarimu mamilioni kuitengeneza nje ya nchi,huku show
nzima
ikidhaminiwa na Heinekein ambao pia ndiyo wadhamini wa lebo ya
Candy& candy ya jijini Nairobi, huku mgeni rasmi akitarajiwa kuwa
kiongozi mzito kutoka Ikulu ya Rais Kikwete pale Magogoni jijini Dar es
Salaam"alisema Baby Madaha.
No comments:
Post a Comment