Friday, 27 December 2013

GONJWA JIPYA LAIBUKA LAUA MZEE WA MIAKA 80

 
HONG KONG - Babu wa miaka 80  amefariki huko Hong-kong kwa gonjwa jipya linalo enea huko China, linatambulika kama H7N9 linalo enezwa na ndege (mafua ya ndege).. Serikali ya China imetangaza mara tu baada ya gonjwa hili kuua mtu wakwanza tangu lianze kusamba mwanzoni mwa mwezi wa kumi na mbili.

Wana sayansi wamesema kwamba hamna ushahidi wowote uliopatikana kwamba gonjwa hili linaweza kusambazwa kutoka kwa binadamu kwenda kwa binadamu ....Mpaka muda huu watu wote waliokua wanakaa karibu sana na mzee huyo wameenda kupima na wamekutwa hawana ugonjwa huo....

No comments:

Post a Comment