HABARI NJEMA...KODI YA LAINI ZA SIMU YAFUTWA...!SOMA ZAIDI HAPA...!
Habari za kodi kwa laini za simu ilichukua vichwa vya habari kwa
wakati wake hadi pale mheshimiwa Rais alipotoa agizo kwa wahusika
kulishughulikia suala hilo....
Naibu
Waziri mwenye dhamana ya mawasiliano,sayansi na teknolojia “January
Makamba” ametoa habari mpya na nzuri kuhusu kodi hii....
No comments:
Post a Comment