.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

HII NDIO HABARI MPYA KUHUSU TV IMAAN

Picha chini ni CEO wa Tv Imaan Br Ally Ally Ajiraan akionesha bahasha ya barua waliopewa na Tume ya mawasiliano Tanzania (TCRA) yenye maelezo kuhusu Tv Imaan.
Na chini ni barua yenyewe. Hii ni ishara nzuri inayo ashiria kuwa Tv hiyo ambayo ni kipenzi cha waumini wa kiislam na Tv ya kwanza ya kiislam nchini Tanzania itakuwa hewani muda ambao si mrefu.
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad