Tuesday, 31 December 2013

HIVI NDIVYO ILIVYOKUA KWENYE USIKU WA RICH MAVOKO PALE MAISHA CLUB OYSTER BAY



 Msanii Rich Mavoko usiku wa kumkia leo alizindua rasmi video yake ya  wimbo wa 'Roho Yangu', katika ukumbi wa Maisha Club iliyopo Oysterbay jijini Dar es Salaam,katika uzinduzi huo Rich Mavoko alisindikizwa na wasanii mbalimbali  wakiwemo Jux Vuitton,Barnaba,Dully Sykes,Shetta,Mr Blue na wengineo.

Angalia picha hapa.



















No comments:

Post a Comment