.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

HUYU NDIYE MODEL NA MUIGIZAJI WA KIKE ALIYE MJIA JUU NISHER BAADA YA KUJIFANANISHA NA ADAM JUMA..!!!

 
 Zuhura Gora Zuhura Gora ambaye ni model na actress nchini amemshukia Nisher ambaye ni director na producer chipukizi wa video za muziki wa Bongofleva baada ya kudaiwa kujilinganisha kiubora kwa kazi na Adam Juma ambaye alileta mabadiliko ya kutengeneza video bora za muziki wa Bongofleva nchini. Issue hiyo iliwafanya Nisher na Adam Juma waanze kutupiana maneno kwenye mitandao ya kijamii na blogs kuanza kuandika habari hizo. 
Zuhura Gora
lakini Nisher ambaye pia ana kazi nzuri licha ya uchanga wake kwenye fani hiyo alikaririwa na Bongo5 akisema kuwa watu walimuelewa vibaya na wala hakumaanisha watu walichotafsiri ingawa wengine walisema sio kweli anajibaraguza tu ila alimaanisha hivyo hivyo. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Zuhura ambaye ni mpenzi wa Hemedy, video model wa wimbo wa Kamili Gado wa Professor J na pia anatarajiwa kuonekana kwenye tamthilia ya Siri Ya Mtungi season 2 aliandika " Hey Nisher o vyovyotee unavyojiita stop kum-diss my boss coz humfikii hata theluthii hujishtukiii kujifananisha na Adam Juma, nyooo mpxiiiieeww jipangeee usiwe mburulaaa muoneee umeniboa for this haki ya Mungu walahi umenitibua"
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments :

  1. Kwan adam Juma akijifananisha nae kosa??labda ndo Role model wake?/huyu demu nae anatafuta kiki kwa mgongo wa Nisher beib

    ReplyDelete

ad