Macao si Johannesburg. Kule hatukusaidia wapigania uhuru wao. #Sembe
— Masanja (@mkandamizaji) December 27, 2013
Hiki kiburi cha kutaka kuitwa Miss Independent bila kutoka jasho kazini & darasani kitawafikisha pabaya na hii businee ya sembe dada zangu.
— Masanja (@mkandamizaji) December 27, 2013
Na wewe uliyekuwa unamuomba zawadi akienda China na unafiki wa ushosti for life huna haki ya kumsema mwenzako hapa, ni usnichi! Sit down!
— Masanja (@mkandamizaji) December 27, 2013
Huu u-boss lady naomba muachieni Oprah, utakuja kuwatokea puani. #sembe #dona
— Masanja (@mkandamizaji) December 27, 2013
Kitu kimoja hamuelewi ni stress na frustrations za celebs wa Bongo. Majina makubwa lakini kuna unyonyaji sana. Inachangia maamuzi ya ajabu.
— Masanja (@mkandamizaji) December 27, 2013
No comments:
Post a Comment