Edo Kumwembe anasema hivi . . .
"Well done Jamal Malinzi...Katibu mpya wa TFF ni Mhaya, Mkurugenzi wa
sheria na utawala ni Mhaya, Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya, Mwenyekiti mpya wa kamati
ya Uchaguzi ni Mhaya..na wewe Big Boss wetu ni Mhaya...Asante sana.
World cup here we go..2018."
"Well done Jamal Malinzi...Katibu mpya wa TFF ni Mhaya, Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya, Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya, Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya, Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya..na wewe Big Boss wetu ni Mhaya...Asante sana.
World cup here we go..2018."

No comments:
Post a Comment