MATUKIO MBALIMBALI YA JINSI WANACHAMA WALIVYOICHARUKIA CHADEMA, KIGOMA .... WACHOMA MOTO BENDERA NA KADI ZAO ILI KUFIKISHA UJUMBE KWA MBOWE NA SLAA
Wanachama na wafuasi wa Chadema
wakiandamana katika mitaa mbalimbali ya kigoma ili kupinga ziara ya
Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Slaa mkoani humo pamoja na kupinga maamuzi
yanayofanywa na Kamati kuu ya Chadema. Maandamano hayo yanaendelea hivi
sasa
No comments:
Post a Comment