Mwamvita Makamba, Ni mtoto wa Muheshima Makamba aliyekuwa mkuu wa Mkoa
Wa Dar es salaam , na baadae Mwenyekiti wa CCM kitaifa, Mwamvita ana
Masters ya Politics and International Relations na kwasasa ni Chief
Officer: Marketing & Corporate Affairs kampuni ya Vodacom Tanzania.
No comments:
Post a Comment