Wednesday, 11 December 2013

MWILI WA MANDELA WAPELEKWA KWENYE OFISI ZA SERIKALI..TAZAMA PICHA HAPA

Wanajeshi  wameubeba mwili wa hayati Mandela kuelekea ofisi za serikali jijini Pretoria.
Mwanamitindo wa Uingereza, Naomi Campbell mbele ya jeneza la mwili wa Mandela.
Mwanamitindo wa Uingereza, Naomi Campbel (kushoto)
Wananchi wakishuhudia msafara wa mwili wa Mandela mitaani.
  Jeneza likiwa limefunikwa bendera ya Afrika Kusini.
PICHA ZOTE NA DAILYMAIL

No comments:

Post a Comment