Wednesday, 11 December 2013

NEWS ALERT: MZEE SMALL HAJAFARIKI DUNIA HABARI ZA KIFO CHAKE NI UZUSHI.


Kuna taarifa zimeenea usiku huu kuwa Mzee Small kafariki, hizo taarifa si za kweli bali ni uongo mtupu ulio sambazwa mitandaoni. 

Mwandishi wa habari hizi ameongea na mtoto wake usiku huu aitwae Mahamoud na kuthibitisha kuwa baba yake yuko hai hajafariki na kusema:
 "Baba ni mzima na wala hajafariki kwani nimetoka kumjulia khali mda si mrefu na ni mzima anaendelea vizuri na hizo taarifa ni za uongo."

No comments:

Post a Comment