Rais Jakaya Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Uhuru kwa maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika hivi punde.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete kwa sasa amewasili katika Uwanja wa Uhuru jijini
Dar es Salaam kuongoza maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika
uliopatikana Desemba 9, 1961.
No comments:
Post a Comment