1. Fabio Coentrao
Real Madrid
Nafasi anayocheza
Beki wa Kushoto
Uwezekano wa kumpata ni mkubwa kwa kua mpaka sasa anagombania namba na Marcelo ambae ndio beki anaeaminika katika timu io, na mpaka sasa Fabio amecheza mechi mbili tu katika mechi za ligi, huku akiwa na hamu ya kucheza UEFA ila mpaka sasa ajapagwa kwenye mechi yeyote ile ya UEFA msimu huu,
2: JUAN MATA
Chelsea
Nafasi anayocheza
Kiungo Mshambuliaji
Mourinho Yuko tayari Mata aondoke na mpaka sasa PSG wameshaweka Dau lao, na Uongozi wa Chelsea unataka wabadilishane Rooney kwa Mata.....
3: KOKE
Atletico Madrid
Nafasi anayocheza
Kiungo wa Kati
Koke ameongeza mkataba mpaka 2018 na gharama ya kumtoa Atletico madrid ni €60 million ambayo Moyes anao uwezo wa kutoa lakini KOKE amesema ataki kuondoka klabu io ..Moyes ammtuma mtu aende akaongee nae ili aweze kutua Manchester United
4: FREDY GUARIN
Inter Milan
Nafasi anayocheza
Kiungo wa kati
Huyu ndio mchezaji peke ambae Inter Milan wana weza kumuuza sasa, na mpaka sasa inter Milan wameongea na Chelsea kuhusu kumuuza huyu mchezaji, Moyes ametuma muwakilishi Milan ili kuongea nao, Lakini Gurain anataka kwenda Chelsea ili akutane na kocha ambae ameshawahi kumfundisha alivyokua akifundisha Inter Milan....
0 comments :
Post a Comment