FA wametoa tamko lao na kusema kwamba mshambuliaji wa Arsenal Theo Walcot hatopewa adhabu yeyote ile...
The Walcot ambae ni mchezaji wa timu ya Arsenal inayoshiriki ligi kuu England alipatwa na matatizo jana kwenye mechi yao dhidi ya Totenham, Baadata wallcot kuumia alibebwa na watoa huduma ya kwanza ili kwenda kupewa matibabu zaidi nje ya uwanja ndipo hapo Mchezaji huyo akaonesha ishara ya Vidole viwili akiashiria kwamba wanaongoza mbili, lakini alionesha ishara io kwa upande wa Mashabiki wa Tottenham ambao wakaanza kumrushia mokobo.... Uongozi wa FA umesema hauto mpa adhabu yeyote mchezaji huyo kwa kuonesha ishara io bali itaita viongozi wa timu hizo mbili na kukaa nao ili kujadili jambo hilo la mchezaji huyo kurushiwa makobo....
No comments:
Post a Comment