LAGOS, Nigeria —
Kiungo wa timu ya taifa ya Ivory Coast na pia kiungo wa Klabu ya Manchester City, Yaya Toure amechaguliwa kua ndio mchezaji bora wa Africa, na io kumfanya awe amechukua tuzo hizo mara 3 mfululizo
Yaya Toure alikua akiwania tuzo io pamoja na mchezaji mwezake wa ivory Coast ambae anakipiga katika klabu ya Galatasaly, Didier Drogba na mchezaji mwingine aliekua akiwania tuzo io ni Kiungo wa Chelsea na pia mchezaji wa Timu ya taifa ya Nigeia Obil Mikel.
Yaya Toure amefungunka na kusema tuzo io aliopewa ni maajabu kwake.....
Mpaka sasa anaeshikilia rekodi ya kuchua tuzo nyingi za mchezaji bora wa Africa ni Mshambuliaji wa Cameroon na pia Mshabuliaji wa Chelsea Samwel Etoo ambae ameshachukua mara 4...
Mashabiki wa mpira watambue kwamba tuzo hii aliopewa Yaya Toure ni tofauti na ile ya Mchezaji wa Africa wa BBC ambao hii wapiga kula hua ni Mashabiki dunia nzima ambayo Tuzo hio alichukua Yaya Toure mwezi wa 12 mwaka 2013
Lakini Tuzo hii ya mchezaji Bora wa Africa hupigwa kula na Makocha wa Timu za taifa na Viongozi....
Mpaka sasa Toure amefikisha miaka 30, na ndio alikua mchezaji peke wa Africa aliwekwa kwenye list ya wachezaji 23 waliokua wakiwania tuzo ya mwanasoka bora wa Dunia....
No comments:
Post a Comment