.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

MCHEZAJI MAARUFU KUTOKA NIGERIA ABADILI DINI NA KUINGIA KWENYE UISLAMU...

Mchezaji wa Zamani wa Nigeria mwenye umri wa miaka 46 ambae alikua akicheza Kiungo mkabaji katika timu ya taifa ya Nigeria ambae ameshastaafu mpira  kwa sasa ni kocha Emeka Ezeugo ametangaza kuslim?kubadilisha dini nakuingia kwenye Dini ya Uislamu mara tu baada ya kushawishiwa na Maisha aliokua kiishi Mtume Mohammad, Emeka amebadilisha Dini pamoja na Mkurugenzi wa Mohammedan Amirul Islam,na mchezaji mwezake wazamani KaiserHamid


Emeka

source: NaijaMayor.com
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad