Demu wake prezzo anayejulikana kwa jina la Stella au unaweza kumuita Chagga Barbie alikua kwenye game ya Oklahoma City Thunder vs a Minnesota Timberwolves huko marekani akimtazama kijana wa kitanzania Hasheem Thabeet akicheza kikapu.Katika Mchezo huo ambao Thunders waliwafunga Timber wolves 115 kwa 111 na baada ya mechi hiyo stella alipata nafasi ya kuhang na Hasheem Thabeet.
.
.
shop now
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment