Tuesday, 7 January 2014

MESSI ARUDI UWANJANI ...

Lionel Messi
Mshambuliaji na pia Mchezaji wa Dunia mara 4 mfululizo Lionel Messi anaekichapa katika club ya Barcelona ambayo inashiliki Ligi ya Spain (La Liga) ilioweka maskani yake mjini Catalunya huko Spain ameweza kurudi uwanjani na kujiunga na wachezaji wenzake kwenye mazoezi baada ya kuumia tangu mwezi wa Kumi na Moja tarehe 10

Mpaka dakika hii Barcelona wametoa taarifa kwamba Messi atacheza mechi za kombe la Mabingwa wa Ulaya dhidi ya Man City

Mechi ya kwanza ambayo Mchezaji huyo atacheza itakua dhidi ya Getafe siku ya Jumatano 8/7/2014 katika kombe la Copa del Rey, atafatifa na Mechi ya Ligi itakayochezwa siku ya Jumamosi dhidi ya Atletico Madrid 

Mpaka sasa Timu ya Barcelona inaongoza Ligi, lakini wanaongoza tu kwa kua wana utofauti mkumbwa wa magoi ila wako sawa kipoint na Atletico Madridwote wakiwa na point 49 baada ya kucheza mechi 18

Mechi ya Jumamosi ni muhimu kwa timu zote mbili maana timu itakayo shinda ndo itaongoza ligi, Mashabiki wa Barcelona wanategemea Messi kuonesha mambo makubwa katika mechi io.....

No comments:

Post a Comment