Kuna
mdada wa miaka 18 Ambae amejifungua binti anaeitwa Maryam kwa bahati
mbaya sana mtoto Huyo alipozaliwa hakua na sehemu ya kutoa choo kikubwa
hali ya Kua kwamba sehemu hiyo imefunga. Kwa ujuzi wa ma daktari wa
muhimbili wamemtoboa hapo ubavuni ili atoe choo kikubwa kwa njia hii.
Madaktari
walimshauri mama mzazi mtoto atafanyiwa operation wa kufungua njia ya
choo kikubwa akifika mwaka na nusu. Sasa amefika umri na mama mzazi yupo
kwenye hali Duni sana na Hana hela ya kumfanyia mtoto operation huo.
Nawaomba
ndugu zanguni tumsaidie huyu mtoto, kwani hali hii Inaweza kumkuta mtu
yoyote. Haya ni Maisha Yake nawaomba mjitokeze kwa Moyo mkunjufu
tumsaidie huyu mtoto.
Kama
Una msaada Wowote ule tafadhali nipige mimi apa kwa kutumia number:
+255719009004 au Kama upo nje ya Tanzania na umeguswa na hili na unataka
kutoa sadaka yako tafadhali Tuma kwenye account yangu ya Barclays: Miss
S.Yussuf sort code: 207103 acc: 73049328 pia unaweza kutuma njia ya
wastern union.
Kwa mlikuwepo Tanzania hiyo number yangu ya TIGO PESA. Ahsante sanaa
KUTOA NI MOYO SI UTAJIRI. MUNGU AWABARIKI SANA.
0 comments :
Post a Comment