Picha na taarifa za ajali inayohusisha basi la abiria huko Morogoro feisal pinto 20:30 Edit Taarifa zilizofika hivi sasa zinahusu ajali ya basi liligongana na lori huko Mikumi Morogoro. Basi hilo limetajwa kuwa ni Taqwa mashuhuda wanasema basi hilo lilijaribu ku-over take hilo lori. Hadi sasa wamefariki watu watatu ambapo wanawake ni wawili na mwanaume ni mmoja Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About feisal pinto Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only. RELATED POSTS
Taarifa zilizofika hivi sasa zinahusu ajali ya basi liligongana na lori huko Mikumi Morogoro. Basi hilo limetajwa kuwa ni Taqwa mashuhuda wanasema basi hilo lilijaribu ku-over take hilo lori. Hadi sasa wamefariki watu watatu ambapo wanawake ni wawili na mwanaume ni mmoja
0 comments :
Post a Comment