Raisi wa Timu ya Barcelona amefunguka live nakusema kwamba Mshambuliaji wa timu io ya barcelona na pia ni Mshambuliaji wa Argentina lionell Messi sio mchezaji wa kuuzwa na wanampango wakukaa nae ili kuzungumza nae kuhusu kutia saini mkataba wake mpya wa kutumikia timu io yenye maskani yake huko Hispania.....
Amesema hayo baada ya timu kama PSG na Man City kuanza kuweka fedha kwa ajiri ya mshambuliaji huyo
..Pia Baromeu ambae ndio raisi mpya wa timu io amesema kwamba wanampango pia wa kumfanya Lionel Messi kua mchezaji namba moja nae lipwa pesa nyingi .... Alisema hayo alipokua akiojiwa na moja ya kituo cha Radio huko Hispania
0 comments :
Post a Comment