.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

STEPHEN AMCHANA LIVE DIVA BAADA YA KUTANGAZA NIA YA KUGOMBEA UBUNGE

Diva (clouds fm)
"Natangaza nia ya kugombea ubunge na kuingia kwenye siasa rasmi 2015,nina mengi ya kusaidia taifa na jamii inayotuzunguka na nina support ya kutosha kutoka kwa my close friends"

Daaah! Watu wanaka vikao vya juice Steers wanampump mwenzao kesho anakuja kusema ana support ya kutosha! Kwa style hii hii tunakuja kupata wabunge wa type ya Lema!

Erick Ludendorff,A German army officer during the 1st World War alipata kusema kuhusu wanajeshi mahiri wa Uingereza wanaoongozwa na viongozi dhaifu wa kijeshi!
"Nowhere have i seen an army of lions being led by a lamb"

Microscopic intelligence quotient figures wanataka kuifanya hii nchi Bilicanas au Maisha Club!
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad