Post by January Makamba.
Natoa pole kwa wana kalenga kwa kumpoteza Ndugu/Mbunge wao Mhe. Mgimwa. Pole kwa @ccm_tanzania na serikali kwa kumpoteza kiongozi shupavu!
— William Ngeleja (@williamngeleja) January 1, 2014
R.I.P. The minister of finance of Tanzania William Mgimwa
— DjChokaMusic.com (@ChokaDJ) January 1, 2014
Tanzia Waziri wa Fedha William Mgimwa, Mb
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Waziri wetu wa... http://t.co/zvy6KTiurf
— Zitto Zuberi Kabwe (@zittokabwe) January 1, 2014
Tanzania imepoteza mchumi mahiri na kiongozi mkweli. Waziri wa Fedha - RIP Dr.William Mgimwa. http://t.co/BA54VX3cZN
— Orijino Komedi (@OrijinoKomedi) January 1, 2014
0 comments :
Post a Comment