ALIKIBA VALENTINE'S DAY CHECK ALIKUWA WAPI
JUZI ilikuwa Valentines Day na msanii kutoka Bongo Ally Kiba alikuwa anashow pande za Muscat na show aliyopiga unaambiwa haijawahi tokea kwa msanii yoyote aliyeenda kufunika kama Ally Kiba jana. Kila wimbo aliokuwa akiuimba watu walikuwa wanashangilia na unaambiwa ilikuwa ni Live Band tu.
No comments:
Post a Comment