Wednesday, 19 February 2014

Baada ya ile story ya Linex na Masogange Kutoka kimapenzi, Hiki Ndicho kilichomkuta Linex

MSanii wa Bongo Fleva Linex Sunday Mjeda, Amejikuta katika wakati Mgumu baada ya Taarifa zisizokuwa za Ukweli Kusambaa katika Blog Mbalimbali za Hapa Bongo.

Takriban Wiki Mbili zilizopita Blog Nyingi ziliandika Kuwa Linex anamahusiano ya Kimapenzi na Video Quen Anaejulikana Kwa Jina la Agnes Masogange..

Taarifa hizo zilienezwa baada ya Linex Na Masogange Kupiga picha wakiwa Pamoja.

"Daaah Uzushi ulioenezwa na baadhi ya blog miyeyusho umesababisha Umenitofautisha na familia yangu ndugu jamaa na marafiki wish kama Mungu awafunue ndugu jamaa marafiki washabiki wangu waujue ukweli bado naendelea kupokea cm nyingi za maswali japo nilishaongea b4 kwamba sina mahusiano na Masogange daaaaah." Alisema Linex

No comments:

Post a Comment