Baada ya kutimuliwa MTANASHATI msanii PNC
arudi mikono nyuma akimuomba boss wake Ostaz Juma arudi tena katika
lebo hiyo. Picha hii imeonekana katika account ya facebook ya Ostaz Juma
ikisema
“hahaha jamani mziki ni kazi
pnc arudi kuomba msamaha ili aendelee kufanya kazi mtanashati”
Na baadae mtu mzima Ostaz akatupia video clip ikimuonyesha PNC akiomba msamaha kwa machungu
0 comments :
Post a Comment