Wednesday, 26 February 2014

Msanii PNC arudi kuomba msamaha kwa Boss wake OSTAZ JUMA

1977201_246281245544311_560703102_n
Baada ya kutimuliwa MTANASHATI msanii PNC arudi mikono nyuma akimuomba boss wake Ostaz Juma arudi tena katika lebo hiyo. Picha hii imeonekana katika account ya facebook ya Ostaz Juma ikisema
“hahaha jamani mziki ni kazi pnc arudi kuomba msamaha ili aendelee kufanya kazi mtanashati”
Na baadae mtu mzima Ostaz akatupia video clip ikimuonyesha PNC akiomba msamaha kwa machungu

No comments:

Post a Comment