MUIGIZAJI WA KIBONGO ASEMA ATAGOMBEA UBUNGE 2015..MJUE HAPA
Mwigizaji wa Comedy (Futuhi) Anajulikana
kwa Jina la kingwendu Amweka wazi Nia yake ya kuwania Ubunge katika
kinyanganyiro cha 2015, Amesema kwa sasa Amejipanga vya kutosha kuingia
mjengoni , Kuhusu chama atakacho gombea kwa sasa ni siri yake ila
atakitaja mambo yakikaribia....
UNAONAJE ATAWEZA AU NDIO ATAPELEKA BUNGENI VICHEKESHO?
No comments:
Post a Comment