.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

OSTAZI JUMA AELEZA KUHUSU PNC KUMPIGIA MAGOTI..MSIKILIZE HAPA


Tangu jana usiku kuna picha ilikua inasambaa ikimwonyesha Msanii PNC akiwa amempigia magoti boss wake wa zamani Ostaz Juma na musoma, akiwa anamwuomba msamaha, huku Ostaz anaonekana akiwa amekalia kochi huku amekunja nne, picha imekua gumzo, wengi wakidai kuwa kitendo cha picha hizo kupigwa na kusambazwa hasa Ostaz mwenye kuipost picha hiyo kwenye mtandao wa Instagram ni kumdhalilisha msanii huyo tumepiga story na ostadh huyu hapa anafunguka kuhusu picha hii... -
Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad