Dubai
ni sehemu ambayo hata nchi nyingi kubwa duniani zinaipa salute… ni
sehemu ambayo imejengwa kwenye miaka ya karibuni hivyo kufanya vitu
vyake vingi kuwa vya kisasa na vyenye ubunifu mkubwa. Ni sehemu ambayo pia unaambiwa ina usalama mkubwa duniani, tulikwenda
club tukatoka saa tisa na tukatembea kwa mguu mpaka tulipokua
tumefikia.
No comments:
Post a Comment