snuramushi Ina lil-lah waina ilaih rajiun.......namuomba mola ampe kauli thabit......wapenz wangu nimepata msiba mkubwa sana nimeondokewa na babu yangu ambae alishika nafasi ya baba alinilea toka nilipozaliwa mpaka nimekuwa mtu mzima na nilikua nikimwita baba sio babu alinipenda sana jina langu ndilo lililokua mdomoni kwake mpaka anakufa jamani inauma inaniuma ila namshukuru mungu kwa kila jambo mitihani imeniandama juzi mdogo wangu tumbo moja aligongwa na gari utumbo ukakatika amefanyiwa operation hali yake bado....leo tena msiba yani huyu mgonjwa sijui nitafanikiwa kumficha sijui atajua na akijua sijui mshono utafumuka jamani sijielewi mwenzenu nifanyeje mie
SNURA MUSHI WA MAJANGA APATWA NA MSIBA MKUBWA SANA..POLE KWAKE

0 comments :
Post a Comment