Thursday, 27 February 2014

TAHADHARI KWA NAOTUMIA VYOO VYA KUKAA... HII IMETOKEA KWELI



Hii ni kweli imetokea, Thanks God Jamaa alitazama kabla ya kutumia ... Nakuona  Big Snake lime pozi....Daaah Hatari sana.

Hivyo watu wenye vyoo vya kukaa wanashauliwa kutazama kila wanapotaka kutumia....hasa kama nyumba yako ipo karibu na vichaka... - See more at: http://www.makorokocho.co/2014/02/tahadhari-kwa-wenye-vyoo-vya-kukaa-kila.html#sthash.NBcjydNB.s295oYVw.dpuf


No comments:

Post a Comment