YANGA YAZUIWA UWANJA WA NDEGE KWA MUDA WAKAGULIWA KWA KUHISIWA NA MADAWA YA KELEVYA
Leo
Asubuhi Team ya Yanga Imekiona cha Moto baada ya kuzuiwa uwanja wa
Ndege wa JKIA Hapa Dar Wakielekea Comoro Kwa Ajili ya Mchezo wa
Marudiano ...Mtoa nyeti Amehabarisha kuwa Walihisiwa wamebeba mzigo
ikabidi upitishwe ukaguzi wa nguvu
No comments:
Post a Comment