Ni shoo ambayo iliofanyika siku ya jumapili, huku ikiwa ilifanyiwa bonge la promo, Japo kuwa walitangaza itakua ni Birthday ya linah pamoja na Meninah huku pia meninah kutambulisha nyimbo yake ya KACOPY na KUPASTE ila mashabiki wajitokeza wachache sana
No comments:
Post a Comment