.

.

SHOP HERE

News
Loading...

.

.

.

shop now

HII NDIO MIJII INAYOONGOZA KWA FOLENI NCHINI MAREKANI

Imeandaliwa na: FeisalPinto
hii ndio miji inayoongoza kwa foleni nchini marekani ni Kufatia na takwimu ya mwaka jana iliotoewa na Inrix Scorecard mapema mwaka huu,  Maderava wa nchini marekani wanalalamika, Magari yamekua yakikaa kwenye foleni kwa takribani masaa 64 kwa mwaka (2013)

Huu ni mji wa Washingoton Dc ambao kwa takwimu iliotolewa inaonesha kwamba madereva walipoteza takribani masaa 40 wakiwa kwenye foleni

 
Katika huu mji wa Boston imekadiliwa kwamba madereva walipoteza takribani masaa 38 mnamo mwaka 2013


Ndani ya mwaka 2013 wote inakadiliwa madereva walipoteza takribani masaa 37 wakiwa kwenye foleni katika mjii huu wa Seattle, WA


Inakadiliwa katika mjii huu wa San Jose madereva walipoteza takribani masaa 35 wakiwa kwenye foleni mnamo mwaka 2013 mzima
Mjii hu unaojulikana kama BridgePort inakadiliwa mnamo mwaka 2013 madereva walipoteza takribani masaa 42 wakiwa kwenye foleni

Mjii wa New York City pia umetajwa kwa kuwa na foleni huku ikikadiriwa kwamba madereva walipoteza takribani masaa 53 wakiwa kwenye foleni kwa mwaka 2013 wote

huu ni mji wa Austin TX amabo kutokana na takwimu zilizotolewa inaonesha kwamba madereva walipoteza takribani masaa 41 wakiwa kwenye foleni mnamo mwaka 2013 wote

huu ni mjii wa San Fransisco ambao inakadiliwa madereva walipoteza takribani masaa 56 mnamo mwaka 2013 wakiwa kwenye foleni

Huu ni mjii wa Honolulu, ambao kwa mwaka mzima wa 2013 madereva wamepoteza takribani masaa 60 wakiwa kwenye foleni


Huu ni mji wa Los Angeles ambao kutokana na takwimu izo inaonesha huu ndi kwa ndio mji unaongoza kwa Foleni madereva hukawalipoteza takribani masaa 64 kwenye foleni kwa mwaka 2013


Share on Google Plus

About feisal pinto

Computer Application Student, Author, Short Stories Writer, Business Proposal Writer, Presenter and Application Builder. Email feisalpinto4@gmail.com for complains and business only.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

ad