Monday, 17 March 2014

HII NDIO MOVIE YA MAREHEMU KANUMBA AMBAYO BADO IPO KWENYE CHART YA MAUZO BORA MPAKA SASA



Steven
Filamu ya Marehe Steven Kanumba ‘Uncle JJ’ Bado inafuatiliwa na kununuliwa na wapenzi wa filamu za Tanzania. Hii nimekutana nayo kwenye duka moja maarufu Kariakoo kwa kusambaza filamu za Tanzania kwa mawakala tofauti nje na ndani ya Dar es salaam.
Hizi ni filamu zenye mauzo zaidi kwa sasa kwenye maduka tofauti Tanzania.
1] Bado Natafuta – Salim Ahmed
2] Danija – JB
3] Gumzo – Majuto
4] Hard Price – Ray
5] Snitch – Rammy
6] Rent House – Majuto
7] Steve Kanumba – Uncle JJ
IMG_9335
IMG_9334

No comments:

Post a Comment