Friday, 14 March 2014

PICHA HII YA ALLY REMTULLAH YAZUA UTATA MITANDAONI, ASHUSHIWA MATUSI BAADA KUKUMBATIWA NA MWANAUME



Ally Remtullah ni mbunifu wa mavazi nchini  Tanzania ambae miezi kadha iliopita alipatwa na skendo kutokana na keki yake ya birthday ambayo ilizua utata mkubwa mitandaoni.(angalia picha hio chini) 
Picha ilioleta utata miezi kadha iliopita

Mwanamitindo huyo ameendelea kuleta utata kwenye mitandao baada ya hapo jana, kijana mmoja ameweka picha akiwa amemkumbatia Mwanamitindo huyo, watu katika mtandao huo wa kijamii hawakupenda picha hio na wakadiriki kuanza kushusha mvua za matusi,

No comments:

Post a Comment