Monday, 24 March 2014

Picha za zawadi Drake alizopewa na wachezaji wa Liverpool na Manchester City.

article-0-1C82828800000578-972_634x390
Drake ambae ni rapper kutoka Canada anayeiwakilisha label ya Young money  weekend hii alikuwa nchini Uingereza kwenye tour yake ya Ulaya.

article-2587360-1C83C5B300000578-841_306x423
Drake ambaye ana umri wa miaka 27, usiku wa jumamosi alikuwa ukumbi wa Echo Arena uliopo kwenye mji wa Liverpool ambapo wakati akiwa backstage alipata nafasi ya kukutana na wanasoka Samir Nasri na Daniel Sturridge, wachezaji club za ligi kuu ya Uingereza ambazo ni Liverpool na Manchester City.
Wachezaji hao walipiga picha na Drake na kisha kila mmoja alimpatia jezi ya timu yake kama unavyoona kwenye picha hapa chini.

article-2587360-1C83B57C00000578-31_306x423
Sturridge alimpa jezi ya Liverpool iliyosainiwa na wachezaji wenzie, Nasri pia alimpatia jezi ya Manchester City.

No comments:

Post a Comment