Wednesday, 5 March 2014

SIRI YA JUMBA LA AJABU LA RAISI ROBERT MUGABE YAFICHUKA

Juzi Maraisa wa KiAfrica, Mabillionea, Wafanya Biashara Matajiri, Wasomi na ndugu pia walipata fursa ya kuhudhuria harusi ya mtoto wakike wakwanza wa Raisi Robert Mugabe aitwae Bona.
Kwenye harusi io wageni waliokadiliwa kufika 4000 walipata pia fursa ya kuona Mjengo wa familia ya Mugabe ambao ulikua mjengo wa siri kwa miaka mingi sana 

Msemaji wa Raisi Mugabe anaejulikana kwa jina la George charamba amesema Nyumba io ya Mugabe thamani yake ni  zaidi ya Millioni 10 za kimarekani , ilitengenezwa kwa michango kutoka Zanu PF pamoja na wengine wasiojulikana

hizi ndio Picha chache za harusi io na pamoja na jumba ilo
bona- bona-12 bona-16 bona-17 bona-21
mugabe mugabe1
mugabe2 mugabe3 mugabe4 mugabe5 mugabe6 Mugabes-Dining-Room

No comments:

Post a Comment