Wednesday, 16 April 2014

AZAM WAJIBU MASHAMBULIZI KUHUSU FUNUNU ZA KUNUNUA UBINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM



Zikiwa zimepita takribani siku nne tangu Azam FC ilipoandika historia ya bingwa wa mpya wa ligi kuu ya Vodacom huku tetesi zikizidi kuzunguka mitaani kwamba klabu hiyo ya jijini Dar es Salaam imekuwa ikihonga sana wachezaji wa timu nyingine pamoja na marefa ili kujihakikishia ushindi na hatimaye kutwaa ubingwa kabisa.

Leo hii kupitia ukurasa wa wa Facebook, Azam FC wameposti taarifa ya kujibu mashambulizi dhidi yao kwamba wamenunua ubingwa kwa kuandika:

No comments:

Post a Comment