Baada ya kukosa mechi saba, Kiungo Mesut Ozil aliesainiwa kutoka Real Madrid ya Hispania kwa ada ya £42.5 million, ameweza kurejea leo wakati Arsenal walipoingia dimbani kuminyana na Hull city ambao alipewa majukumu ya mshambuliaji ,
| Ozil akiwa mapumziko na Mchumba yake jijini New York |
"Good luck... we are so proud of you" na kuweka picha pia ambayo ipo chini.
| picha ilioweka mpenzi wa Ozil Like facebook page yetu kuendelea kupata news pindi tu zinapotokea bure kabisa click hapa BLOG YA VIJANA |
No comments:
Post a Comment