Justin Bieber hakusita ku-share furaha yake baada ya ku-post picha ya gari hilo jekundu kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika,”Uncle Stunna luv. My first Bugatti ♛ #generosity”
Birdman amemzawadia Justin Bieber hii Buggati.
Justin Bieber hakusita ku-share furaha yake baada ya ku-post picha ya gari hilo jekundu kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika,”Uncle Stunna luv. My first Bugatti ♛ #generosity”
0 comments :
Post a Comment