Monday, 7 April 2014

MAGARI YATEKETEA KATIKA SHOW ROOM JIJINI DAR ES SALAAM



 Duka la Magari (showroom) iliyokuwa karibu na eneo la Mlimani City barabara ya Samnujoma jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto na kusababisha hasara ambayo bado haijafahamika, ambapo mpaka sasa chanzo cha moto huo hakijafahamika.
Magari yakiwa yameteketea kwa moto.



 Hapa moto ulikuwa ndiyo umeanza kuwaka kabla ya kuanza kuunguza magari.
PICHA OTHMAN MICHUZI(MTAA KWA MTAA)

No comments:

Post a Comment