MDOGO WAKE MAREHEMU KANUMBA AANZA KUFAIDI MALI ZA KAKA YAKE..
MSANII wa filamu ambaye ni mdogo wa Kanumba, Seth Bosco hivi karibuni alitinga kanisani akiwa amebeba gitaa alilokuwa akilitumia Steven Kanumba enzi za uhai wake.
Msanii wa filamu ambaye ni mdogo wake marehemu Kanumba, Seth Bosco akiwa na gitaa la Kanumba.
No comments:
Post a Comment